Digitalisha Mialiko na Matukio Yako

Tengeneza kadi za mwaliko za kidijitali, karibisha wageni, fuatilia RSVP, na fanya usajili (check-in) siku ya tukio — yote mahali pamoja.

Anza Sasa — Bure Kujiunga

Jinsi Inavyofanya Kazi

1. Tengeneza Tukio

Jaza taarifa za tukio lako (harusi, send-off, birthday, n.k.) na chagua kifurushi chako.

2. Ongeza Wageni

Ongeza orodha ya wageni wako na tuma kiungo (link) cha mwaliko cha kila mmoja.

3. Fuatilia RSVP na Check-in

Ona ni nani atahudhuria, na siku ya tukio fanya usajili (check-in) haraka mlangoni.

Vifurushi

Silver

2,000 TZS / tukio

Kadi ya kidijitali + orodha ya wageni

Hadi wageni 100

Chagua Silver
Maarufu Zaidi

Gold

2,500 TZS / tukio

Kadi + RSVP + Check-in siku ya tukio

Hadi wageni 300

Chagua Gold

Platinum

3,000 TZS / tukio

Kila kitu + msaada wa kipaumbele

Hadi wageni 1000

Chagua Platinum