Digitalisha Mialiko na Matukio Yako
Tengeneza kadi za mwaliko za kidijitali, karibisha wageni, fuatilia RSVP, na fanya usajili (check-in) siku ya tukio — yote mahali pamoja.
Anza Sasa — Bure KujiungaJinsi Inavyofanya Kazi
1. Tengeneza Tukio
Jaza taarifa za tukio lako (harusi, send-off, birthday, n.k.) na chagua kifurushi chako.
2. Ongeza Wageni
Ongeza orodha ya wageni wako na tuma kiungo (link) cha mwaliko cha kila mmoja, au shiriki kadi moja WhatsApp.
3. Fuatilia RSVP na Check-in
Ona ni nani atahudhuria, na siku ya tukio fanya usajili (check-in) haraka mlangoni.
Vifurushi
Maarufu Zaidi
Gold
2,500 TZS / tukio
Kadi + RSVP + Check-in siku ya tukio
Hadi wageni 300
Chagua Gold